Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Sekta

Sekta ya huduma  inatoa mchango muhimu kwa uchumi wa Tanzania. Sehemu hii inakupa taarifa kamili kuhusu sekta mbalimbali kama vile sheria, afya, maji, viwanda, elimu, misitu, kilimo, ardhi, nyumba na makazi, madini, utalii, usafirishaji, mawasiliano, ujenzi, mifugo, uvuvi na fedha. mtumiaji anaweza kupata maelezo ya kina kwa kila sekta kuhusu shughuli za maendeleo, sera, programu, mipango, mikakati, taarifa za mwaka na mamlaka zinazozimamia sekta hizo.

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-01 09:07:04