Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Leseni
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Maliasili na Utalii

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Mwendesha safari za kitalii anahusika na kupanga na kuongoza safari za kitalii kwa wasafiri wenye shauku ya maelekezo na ushauri wa mtu mwenye uelewa mkubwa wa kuwaongoza kwenye sehemu za kuvutia na wanazotaka. Kwa kawaida hutoa maelezo kwa mdomo kuhusu maeneo na minara ya historia wakati mtu mwingine anaendesha gari la kusafirisha watalii.

 

Masharti:

  • Kundi la magari mapya (yasiyopungua 10) ya  aina iliyothibitishwa  kwa biashara ya safari za kitalii na mamlaka ya utoaji wa leseni.
  • Ni lazima yawe magari yaliyosajiliwa kwa jina la kampuni au biashara.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 23-11-2015