Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kusajili
OFISI INAYOHUSIKA
Bodi ya Usajili wa Makandarasi

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Kampuni yoyote ya kigeni inayokusudia kufanya mkataba mahususi ambao imepewa kazi, itasajili katika Bodi yaUsajili wa Makandarasi.

Masharti:

 • Wasifu wa kampuni
 • Maelezo ya mradi uliopewa mkataba
 • Maelezo ya watu muhimu walioajiriwa kwenye mradi
 • Maelezo ya mradi uliotekelezwa katika kipindi cha zaidi ya miaka mitano iliyopita
 • Cheti cha ufuasi kutoka kwa msajili wa kampuni
 • Barua kutoka kwa mteja inayothibitisha maombi
 • Hati ya kiapo kama ilivyoonyeshwa kwenye Fomu CRB-F10
 • Tamko lililotiwa saini kuwa kampuni haitajihusisha kwenye vitendo vya rushwa

Taratibu:

 • Jaza fomu ya maombi CRB-F3
 • Wasilisha fomu ya maombi kwa bodi
 • Wasilisha fomu ya maombi iliyojazwa kwa ukamilifu
 • Ambatisha nyaraka zote zinazotakiwa
 • Lipa ada ya maombi iliyoelezwa
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 23-11-2015