Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kukodi
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Majengo Tanzania

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Mtumishi asiye wa umma anaweza kupata nyumba ya kupanga kibiashara kulingana na upatikanaji wqa nyumba, mahali na thamani ya soko.

Taratibu

i)     Tembelea Ofisi za Wakala ya Nyumba (TBA) kujua kama kuna nyumba

ii)    Kamilisha fomu ya maombi  kwa ajili ya kupanga nyumba.

iii)  Wasilisha fomu ya maombi iliyokamilika ikiambatishwa na barua iliyopigwa mhuri
      ya Mwajiri wako.

iv)  TBA itakujulisha kuhusu upatikanaji wa nyumba na kiasi cha kodi inayohitajika.

v)    Saini kuthibitisha mkataba wa kupanga nyumba na wasilisha  TBA.

vi)  Lipa kodi inayotakiwa kwenye akaunti ya benki ya TBA.

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 28-01-2016