Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kulipa
OFISI INAYOHUSIKA
Mfuko wa Pensheni wa Jamii

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Mwajiri anatakiwa kukata 10% ya mshahara wa mwanachama na kuongeza 10%, kisha kulipa 20% NSSF kwa wakati. Kwa mwanachama wa hiari,atalipa kadiri ya uwezo wake kuanzia shilingi 20,000 kwa mwezi. 

Fomu za malipo ya michango husika zinapatikana katika ofisi zote za NSSF. 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 27-11-2015