Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Leseni
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Nishati na Madini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Leseni ya kuzuia ni leseni ya kati  ya leseni ya ugunduzi na uchimbaji.  Mwenye leseni ya ugunduzi au leseni ya utafutaji anayo haki ya kuomba leseni ya kuzuia au leseni ya uchimbaji, wakati kwenye leseni ya kuzuia anayo haki ya kuomba kuzuia uchimbaji.

 

Masharti:

 • Madini yamebainishwa.
 • Bado haijafahamika iwapo madini hayo yana manufaa ya kiuchumi kwa kuyachimba.
 • Ramani ya kuonyesha eneo linalohusika na maombi yaliyotumwa.
 • Kulipia ada ya maombi iliyoelezwa.
 • Ripoti ya madini na programu/mpango wa kazi unaotarajiwa.
 • Uthibitisho wa uwezo wa fedha.

 

Taratibu:

 • Kuomba leseni maalumu ya uchimbaji madini katika eneo.
 • Wasilisha kwenye bodi kwa ushauri wa kupewa leseni ya kuzuia.
 • Utapewa leseni ya kuzuia, leseni ya uchimbaji kama mwenye leseni ya utafutaji katika eneo.
 • Leseni yako itakuwa kwa kipindi kisichozidi miaka mitano.

Zingatia:

 • Leseni za kuzuia zinaweza kutolewa mpaka hata miaka 10 na zinaweza kuongezwa muda mara mbili, hata hivyo kuongezwa muda  mara ya pili ni kwa sababu maalumu sana.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 19-11-2015